FOR ADVERTISE PLEASE CONTACT US THROUGH E-mail; msetoperfecttz@gmail.com OR 255 717 338 243

Jumapili, 5 Machi 2017

BREAKING NEWS; RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH; JOHN POMBE MAGUFULI AMETOA SIKU 7 KWA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUMEGA ENEO LENYE MAKAA YA MAWE LIITWALO NGAKA LILILOPO WILAYA YA MBINGA MKOANI RUVUMA NA KUMPATIA MUWEKEZAJI WA SARUJI DANGOTE ILI AZALISHE MWENYEWE MAKAA YA MAWE KWAAJILI YA KIWANDA CHA SARUJI KILICHOPO MKOANI MTWARA.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni