Ukubwa wa uume unategemea vitu kama kiwango cha mhemuko, muda, hali ya hewa na unashiriki tendo la ndoa mara ngapi.
Si wanawake pekee ambao huwa bize kuona wanakuwa na maumbile mazuri na
kwamba wanakuwa ni wenye kuvutia muda wote. Ni kawaida kukuta chumbani
kwa mwanamke vipodozi vingi vya kila namna na ukakuta mafuta ya aina
moja tu kwenye chumba cha mwanaume.
Wapo wanaume wachache sana ambao wamebarikiwa kuwa na uume mkubwa kwa
asili. Aina ya maisha unayoamua kuishi yanaweza kuathiri ukubwa na
uimara wa uume wako. Kwahiyo ikiwa una shaka kidogo juu ya ukubwa wa
uume wako fanya mambo 8 yafuatayo kuongeza ukubwa wa uume kwa asili.
Mwanamke yeye huwa na uke wenye urefu wa inch 4 ingawa unaweza
kuongezeka ukubwa kutegemea na namna anavyoandaliwa au mwanaume mwenyewe
alivyo.
Kwa watu wazima, wastani wa ukubwa wa uume uliosimama ni kati ya inch
3.9 mpaka 5.8. Wapo pia wanaume wachache ambao kwa asili wana uume wa
ukubwa wa inch 7 au 8.
Uume unachukuliwa kuwa mdogo ikiwa uko chini ya inch 4 ukiwa umesimama.
Usiwaze ukubwa wa uume ukiwa umelala. Kuna wanaume wa aina mbili, kuna
wale ambao uume ukiwa umelala huonekana ni mkubwa lakini uume
utakaposimama hauwi mkubwa sana na kuna wale ambao uume ukiwa umelala
uume wao unaonekana ni mdogo sana na ndiyo hao ukisimama unakuwa mkubwa
zaidi hata ya wale ambao ukiwa umelala unaonekana ni mkubwa. Hivyo
ukiona uume wako umelala na unaonekana ni mdogo sana usiwaze, ni hali ya
kawaida, unatakiwa uwaze ukiwa umesimama kabisa.
1. Acha kuvuta sigara
Moshi na kemikali za kwenye sigara hujirundika kwenye mishipa ya damu
(ateri). Hii ndiyo sababu uvutaji sigara una uhusiano mkubwa na ugonjwa
wa moyo. Usambazwaji mdogo wa damu kwenye ogani hizo mwilini husababisha
ufanyaji kazi wa chini ya kiwango wa ogani husika. Kumbuka uume
umeundwa kwa mishipa mitupu ya damu, hakuna mfupa kwenye uume. Kama damu
haitembei kwa uhuru wote katika ogani kadhaa mwilini na kwenye mishipa
ya damu kwa ujumla uume wako nao unaweza kuathirika ukubwa wake.
2. Fanya mazoezi ya viungo mara nyingi
Kutengeneza mishipa na kupunguza uzito isiwe ndiyo sababu pekee ya
kwenda gym. Kama unahitaji uume wenye afya au uume mrefu, unahitaji
kujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ili kusafisha mishipa
ya damu na hivyo kuongeza kiasi cha utiririkaji wa damu kwenda kwenye
uume.
Kama uzito wako upo juu sana na ni mnene fanya mazoezi ya kukimbia
(jogging) kila siku kwa mwezi mmoja mpaka miwili. Kama uzito wako upo
sahihi tu kwa mjibu wa urefu wako fanya sana mazoezi ya kuchuchumaa na
kusimama. Una chuchumaa na kusimama mara 25 mpaka 30, unaweza kupumzika
dakika mbili unaendelea tena kuchuchumaa na kusimama hivyo hivyo
unapumzika dakika 2 mpaka mizunguko (round) 5 kila siku.
3. Epuka vyakula vyenye mafuta sana
Kula kwa wingi vyakula vyenye mafuta sana hupelekea kuongezeka kwa uzito
na unene na matokeo yake unaweza kupatwa na magonjwa ya moyo na
kupungua kwa ukubwa wa uume. Kutokutenga muda kwa ajili ya mazoezi
huongeza kolesto katika ateri za damu na kupelekea kupungua kwa msukumo
wa damu kwenda kwenye uume. Kwahiyo acha kula kula vyakula feki (junk
foods) ili uwe na uume wenye afya ya kutosha.
4. Kula sana matunda na mboga za majani
Kula sana mboga za majani na matunda yenye sifa kubwa ya kuondoa sumu na
taka mwilini. Mazoea haya husaidia mwili kupigana na vijidudu nyemelezi
na kuongeza afya katika ateri za damu. Kwahiyo unaweza kuongeza kimo
cha uume wako kwa kuamua kula mboga majani na matunda ili kuondoa sumu
na taka nyingine zisizotakiwa mwilini.
5. Ondoa kitambi
Kuwa na kitambi au tumbo kubwa ni sababu inayofanya uume uonekane ni
mdogo. Hata kama una uume mkubwa kwa asili ukianza tu kufuga kitambi
uume utaanza kuonekana ni mdogo. Kuondoa kitambi soma dondoo namba 2
hapo juu
6. Punguza mawazo
Hamaki na mawazo mengi (stress) hupunguza ukubwa wa uume kwani mawazo
hasi au stress inapozidi na kudumu kwa muda mrefu huondoa damu kutoka
kwenye uume na kupelekea ugumu kwa ukuaji wake. Pia woga au wasiwasi wa
kutokumfikisha mwenza wako unapodumu muda mrefu ni sababu ya kuwa na
uume mdogo.
7. Oga maji ya moto
Hali ya ubaridi sana hupelekea kupungua kwa ukubwa wa uume, kwahiyo kama
unaishi sehemu yenye baridi sana jitahidi uwe unaoga maji ya moto kila
mara au muda mchache kabla ya kwenda kushiriki tendo la ndoa ili kuuweka
mwili wako ni wa moto ili kuongeza msukumo wa damu mwilini na kwenye
uume kwa ujumla.
8. Shiriki tendo la ndoa mara nyingi
Kuna stori zinasema twiga hakuzaliwa na shingo ndefu namna hii kama
anavyoonekana akiwa mkubwa, bali wanasema ile tabia yake ya kupenda kula
majani ya juu ya miti ndiyo ikapelekea shingo yake ikarefuka!.
Inawezekana kuna ukweli kidogo wa stori hizi. Usinielewe vibaya wala
usije ukasema huyu jamaa anahamasisha watu kufanya mapenzi! Hapana usiwe
na haraka hivyo utanielewa tu ninachotaka kusema
Wanasayansi wa masuala ya mapenzi wanasema ikiwa mtu mzima hana msongo
wowote wa mawazo (stress), ana afya nzuri tu ya kutosha na anakula
vizuri basi anaweza kushiriki tendo la tendo kila baada ya masaa 24.
Angalia na umsome pia mwenza wako pia angalia umri wako, sababu kuna
wanawake wengine kwa asili hawapendi kushiriki tendo la ndoa kila mara
pia hatuwezi kusema mtu mwenye miaka 50 atakuwa na uwezo wa kushiriki
tendo la ndoa kila mara kama mtu wa miaka 18 hadi 40 hivi.
Ni vigumu mtu anakaa mwenzi mzima mwingine miezi miwili mwingine anakaa
miezi 6 bila kushiriki tendo la ndoa na utegemee utakuwa na uume mzuri
na wenye afya. Kama hushiriki tendo la ndoa kuna uwezekano mkubwa ukawa
unapiga punyeto kitendo ambacho ni kibaya zaidi kwa afya ya uume wako.
Kwahiyo unaweza kushiriki mara 2 hadi 3 kwa wiki na unaposhiriki tuliza
akili na upate muda wa kutosha siyo haraka haraka tu (short time).
9. Tafuta wa saizi yako
Ni ukweli uliowazi kwamba kamwe hatuwezi kuwa sawa kwa kila kitu. Kuna
msemo wa wahenga pia unasema waacheni wafu wawazike wafu wenzao,
kadharika hata katika suala hili la tendo la ndoa mwanaume ifike wakati
uamini kwamba kuna wanawake wengine si saizi yako, wapo wanaume kwa
ajili yao. Hivyo jiangalie mwenyewe na umtafute mwenza ambaye anaendana
na wewe.
Wakati mwingine unaweza kupata mwenza ambaye ni saizi yako lakini sababu
ya mabadiliko ya kimwili na kihomoni inatokea naye anakuwa anakuzidi,
ikikutokea hivi usimwache, njoo uonane na mimi zipo dawa za asili
maalumu zinazoweza kurudisha uke katika umbo dogo na unaobana vizuri
kama mwanzo. Au utaona aibu tena! Kuna namna ya kuongea naye.
10. Tumia mitishamba ambayo haina madhara
Ndiyo mitishamba, kuna baadhi ya mitishamba inayoweza kurekebisha
mzunguko na msukumo wa damu yako na hatimaye kuongeza ukubwa wa uume.
Uwe makini sana hapa kwani unaweza kusababisha hatari zaidi hapo baadaye
ukienda kwa pupa. Usitumie dawa zinazoahidi kukuongezea urefu au ukubwa
sana wa uume bila kujuwa nini madhara yake hapo baadaye, epuka pia dawa
zenye kamikali kwa ajili hiyo.
Jambo la mhimu
Badala ya kuwa bize na ukubwa wa uume wako, jitahidi kutafuta G-spot ili
uweze kumchezea mwenza wako katika maeneo yanayomsisimua zaidi.
Kumchezea mwenza wako ni muhimu sana ili aweze kufikia kileleni mapema.
Kuna mwingine anaweza kusema huyu jamaa naye vipi na hizi habari za
ukubwa wa uume? Na ukaanza kunishangaa. Mimi naandika chochote
ninachoona kinaweza kuwa msaada kwa msomaji wangu, inawezekana wewe una
msumari wa inch 6 na unaposikia habari kama hizi unaanza kushangaa na
kudhani kama ni jambo lisilotakiwa kuzungumzwa. Pole sana ndugu, hapa
chini ya jua kila mtu ana shida zake na shida yako haifanani na yangu
wala shida yangu haifanani na yako, mimi naweza kuwa nina uhitaji wa
10000 na wewe ukawa na uhitaji wa 100,000 zote hizi ni shida na
zinahitaji ufumbuzi. Kwahiyo wapo wanaume wenye uume mdogo kweli mtu ana
uume wa inch tatu mwingine inch 4 je mtu kama huyu tunamsaidiaje kama
tutasema hili jambo siyo la kuzungumziwa?
Kwahiyo kila shida lazima iwe na mtu anayeweza kuisuluhisha kwa ajili ya
wengine, mtu asiye na aibu kwa ajili ya wengine. Na wala usilete dharau
kwenye hicho kiungo, mimi na wewe tupo hapa kama matokeo ya mahusiano
hivyo ni kusema bila mahusiano kusingekuwa na hii dunia na mambo madogo
madogo kama haya ndiyo yanaleta mivurugano kwenye mahusiano mengi. Na
mwanaume huwezi kuwa na nguvu za kufanya kazi kwa bidii ikiwa kuna
makelele kwenye mahusiano yako. Ukitaka uone uume nao ni kiungo mhimu
ngoja uuguwe ugonjwa wowote wa zinaa na utokwe na maji mazito mara moja
utachanganyikiwa na kumtafuta daktari kokote aliko!
Biblia inasema viungo vyote ni sawa na kila kimoja kinamtegemea mwenzake
ili kufanya kazi vizuri, soma 1 Wakorintho 12: 14 – 26. Kwahiyo
usiseme hiki hakizungumzwi hapana, kila kiungo kina umhimu wake tena
hakuna kiungo mhimu kwa mwanaume kama uume kwani ndicho hasaa
kinachomfanya aitwe mwanaume! Hivyo lolote linaloathiri kazi za uume
linaathiri pia utendaji kazi kwa ujumla wa mwanaume husika.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni