Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema yeye ni
sawa na mashine ya kusaga na kukoboa ambayo ukiweka miguu unageuka
sembe.
Gwajima amesema hayo leo asubuhi katika ibada inayoendelea kanisani
kwake hivi sasa akieleza kuwa, "Baba wa familia amechokozwa kuwa anavuta
unga watoto wamechachamaa wanataka baba ampige adui yake, nitaendelea
kupiga bila kuogopa chochote."
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni