FOR ADVERTISE PLEASE CONTACT US THROUGH E-mail; msetoperfecttz@gmail.com OR 255 717 338 243

Jumapili, 6 Desemba 2015

SINGIDA YAHITAJI WAWEKEZAJI KATIKA FUKWE ZA ZIWA SINGIDANI.


Singida ni mkoa uliopo katikti kabisa ya Tanzania ambapo ina maziwa kadhaa katika mkoa huo, moja wapo ni ziwa Singidani na ziwa kindai ambapo yana uwezo na mazingira mazuri ya kiuwekzaji

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni