Mama mlezi wa aliyekuwa Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya
Kikwete, Bi Nuru Kikwete amefariki dunia katika Hospitali ya Muhimbili
alipokuwa akitibiwa asubuhi ya leo.
Rais Mstaafu Jakaya Kikwte
Bibi Nuru Kikwete (Enzi za uhai wake)
KIKWETE AFIWA NA MAMA YAKE
Reviewed by Msetoperfect Tz
on
02:32
Rating: 5
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni