Rais Magufuli akitoa maelekezo ya kwa waziri wa maji Mhandisi Gerson Lwenge kuhakikisha kuwa mradi wa maji wa Ng'apa unakamilika ndani ya miezi minne na si vingenevyo.
Sehemu ya mradi wa maji wa ng'apa Mkoani Lindi
Wakati huo huo rais Magufuli baada ya kusalimia wananchi (pichani) mama Salma Kikwete amemshukuru Mh. Rais kwa kumteua kuwa mbunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni