Shanga zimeanza kuvaliwa tokea zamani na kipindi hicho nahisi zilikuwa
zinavaliwa kwa sababu ya urembo zaidi,au zilikuwa zinavaliwa kama sehemu
ya mavazi ya mwanamke wa kiafrika lakini sidhani kama zilikuwa
zinavaliwa kwa ajili ya mambo ya kupeana Raha na Utamu.Ili kuepusha Post
isiwe Ndefu sana ukachoka kuisoma,nikaona itakuwa jambo la busara
nikimix Umuhimu na Jinsi ya kuzitumia kuliko kuelezea mara mbili,kwa
hiyo zifuatazo ni sababu,umuhimu na jinsi ya kuzitumia shanga za kiunoni
wakati wa kupeana Raha na Utamu;
1.UNAWEZA UKAZIVAA KAMA UREMBO
Kuna baadhi ya wanawake wa siku hizi wanapenda kuvaa shanga kama
urembo,na kusema kweli kiuno cha mwanamke kikivalishwa shanga
kinapendeza na kuongezeka mvuto,sio tu kwa wanaume hata kwa wanawake
pia.Kama unavyoona picha ya hapo juu huyo dada kiuno chake
kilivyopendeza,hata chako kitapendeza pia.Kama Unatamani kujaribu,ondoa
uoga,kanunue kisha na wewe uvae pia.
2.WENGINE WANAZIVAA KWA AJILI YA KUWAONGEZEA HAMU NA MZUKA WA KUKATA KIUNO WAKATI WA KUPEANA RAHA NA UTAMU
Kwenye Ngoma za Asili au kwenye Sherehe utakuta baadhi ya wanawake
wamevaa kitu kinaitwa kibwebwe(it is something like an african
traditional girdle or bellyband that women wear around their waist for
traditional dances or during fighting),wanavaa kibwebwe kwa ajili ya
kufanya iwe rahisi kwao kukatika na viuno vionekane kweli vinakatika.Na
kwa upande wa shanga,kuna Baadhi ya wanawake wanavaa kwa madhumuni hayo
pia.Na pia wanasema sio tu zinawasaidia kukata kiuno vizuri lakini pia
zinaongeza mvuto mwanaume akiangalia kiuno kilichovalishwa shanga
kikikatika.
3.UNAWEZA UKAZIVAA KWA AJILI YA KUMPA HAMU MWANAUME YA KUPATA RAHA NA UTAMU.
Asilimia kubwa ya wanaume wakiona kiuno kimevalishwa shanga,haijalishi
kama ni barabarani au ndani ya Basi,Lazima mashine zao zipate shida ya
kujizuia kusimama bila kupenda.(talkin from experience since am a male
too).Hata sielewi kwanini,kwa sababu ukimuona mwanamke amezivaa mkononi
wala hutoweza kupata hisia za ajabu,lakini ukiziona zipo kiunoni lazima
upate hamu kama wewe ni mwanaume wa ukweli.
Kwa hiyo kama huna mazoea ya kuzivaa,na ulikuwa unapenda kufanya au
kuongeza kitu kipya kwenye uwanja wenu wa kupeana Raha na Utamu,basi
nenda kanunue shanga,kisha uzivae ukiwa alone kwa ajili ya kumsuprise
mpenzi/mume wako.Utajua kuwa anazipenda kwa jinsi atakavyokuwa anapay
ATTENTION kuzishikashika na kuzitomasa muda wote mkiwa mnapeana Raha na
Utamu.
4.UNAWEZA UKAZIVAA UKIWA UNAMAANISHA KITU KUTEGEMEANA NA RANGI ZAKE
Kuna Baadhi ya Wanawake wanazivaa shanga kwa kutumia rangi ambazo
zitaleta maana au ujumbe ambao anataka umfikie yule aliyemvalia(either
Mume,Mpenzi,Kimada etc).Mara nyingi huwa inaleta maana au ujumbe utafika
kama Mwanaume husika atakuwa anaelewa Maana ya hizo Rangi za
Shanga,Zifuatazo ni Rangi za Shanga na maana yake;
Nyekundu, Kama ukikuta Mwanamke amevaa Shanga za Rangi nyekundu,basi
ujue yupo kwenye siku zake(hedhi/menstruation cycle).Kwa hiyo unaweza
kumuuliza ili upate uhakika zaidi usije ukaingiza mashine yako ukaishia
kujichafua.
Nyeupe, Kama ukikuta Mwanamke amevaa Shanga za Rangi Nyeupe,basi ujue
kuwa kwa muda huo,Hana Tatizo lolote litakalomzuia kukupa wewe Raha na
Utamu,kwa hiyo upo free kufanya chochote na Mwili wake.
Nyeusi, Kama Ukikuta Mwanamke amevaa Shanga za Rangi nyeusi,basi ujue
kuwa yupo teyari kukupa Raha na Utamu lakini tatizo bado hajanyoa nywele
zake za sehemu za siri,kwa hiyo unaweza kumnyoa kama kweli upo romantic
tena sana au ukaiacha siku hiyo ipite ili akanyoe baadaye au kama hamu
zimekuzidia sana unaweza ukaendelea kama kawaida.
5.UNAWEZA UKAZIVAA KWA AJILI YA KUJIONGEZEA RAHA WEWE MWENYEWE(MWANAMKE) WAKATI WA KUPEANA RAHA NA UTAMU
Kiuno cha mwanamke kimeumbwa na hisia za kimahaba,na ndio maana
ukikitomasa au ukikipapasa(when u caress it),lazima mwanamke apate Raha
na Utamu. Ukiwa unapeana Raha na Utamu na mwanamke aliyevaa
Shanga,wakati wa kupashana joto(foreplay),usisahau kuzichezea shanga
zake kiunoni.
Kama style mnayotumia kwa wakati huo inaweza kuruhusu mikono yako ifike
kiunoni pake basi peleka mikono yako,chezea shanga kwa
kuzipapasa(kuzicaress) kutoka juu kwenda chini au kutoka chini kwenda
juu(au direction yeyote utakayopenda),ukifanya hivyo hizo shanga zake
zitakuwa kama zinamtekenya(zinamtickle),na atapata Raha na Utamu wa
kipekee sana.(jaribu kisha enjoy makelele na miguno ya kimahaba
atakayokuwa anazidisha ili uendelee kufanya mwanzo mpaka mwisho).
N.B-Kama umezivaa ukaenda kazini,au kwenye biashara zako au ukatoka tu
out,make sure unavaa nguo ambazo zitaficha shanga zako hata kama
ukiinama mbele za watu,inaboa kuona shanga barabarani,kwenye
daladala(matatu),maofisini n.k(etc)
Shanga ni Urembo special wa kuonekana chumbani ukiwa na mpenzi/mume
wako,zinatakiwa zionekane na macho yake tu,zaidi ya hapo itakuwa sio
ustaarabu jamani.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni