FOR ADVERTISE PLEASE CONTACT US THROUGH E-mail; msetoperfecttz@gmail.com OR 255 717 338 243

Alhamisi, 2 Machi 2017

RAIS POMBE MAGUFULI AMTEUA MAMA SALMA KIKWETE


Ni Taarifa kutoka Ikulu Dar es salaam Tanzania ambapo jioni hii tunayafahamu maamuzi mengine mapya ya Rais Magufuli ambapo amemchagua Mke wa Rais mstaafu wa awamu ya nne Mama Salma Kikwete, taarifa yenyewe ya IKULU ndio hii hapa chini

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni